Pamoja na kumshindili baba mwenye nyumba goli 7 kwa nunge, lakini rekodi ya Olegi imeshindwa kuvunjwa. Ni mchezaji ambaye aliweza kufunga goli 5 katika mechi moja. Ilikuwa ni kati ya Camerooni na Russia katika fainali za mwaka 1994. Oleg Salenko rekodi yake inaendelea kusimama, swali ni je itaweza kuvunjwa katika fainal au katika mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu?
Oleg Salenko
Mchezaji Norman Whiteside ndiye anayeshikilia rekodi ya kucheza kombe
la dunia akiwa na umri mdogo kuliko wachezaji wote. Hadi leo rekodi hiyo
haijavunjwa na mchezaji yoyote. Norman Whiteside alikuwa ni mchezaji
Northen Ireland na alicheza kombe la dunia la mwaka 1982 akiwa na umri
wa miaka 17 na siku 41. Norman Whiteside kwenye club
- See more at: http://shaffihdauda.com/?cat=12#sthash.VYowvkeN.dpuf

0 comments:
Post a Comment