.

.

Friday, 28 September 2018

Picha ya MwanaSpotiMnyama mawindoni
 utawajua tu
Picha ya Fredy Charzndani ya moro mambo ni moto
Picha ya Sua Mkayandika
no coments

Matumizi ya teknolojia ya kuwasaidia waamuzi VAR, yataanza kutumiwa katika mashindano yote yanayoandaliwa na Uefa, hiyo ni baada ya teknolojia hiyo kutumika kwa mara ya kwanza katika medani ya kimataifa katika fainali za Kombe la Dunia 2018, ambapo Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) limedai ilileta ufanisi licha ya kuwa na changamoto chache na kuagiza vyama na mashirikisho yaliyo chini yake kuanza kutumia. 

Wednesday, 27 June 2018

AFRICA IYO HATIMAE TWAMBAKIZA MMOJA SIKU MOJA IJAYO, ILA MUNGU YUKO UPANDE WETU LAZIMA MTU AKAE

Picha ya Ngassa MachimuMarcos rojo celebrates goal

Sunday, 4 June 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo amemteua Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Anna Elisha Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.

Rais Magufuli amefanya uteuzi huo ambapo Mghwira anachukua nafasi ya Said Meck Sadick aliyeandika barua kwa Rais akiomba kujiuzulu mwezi Mei mwaka huu.

Uteuzi huo umemkuta mwenyekiti wa ACT Wazalendo akiwa katika kongamano la chama hicho lililokuwa likijadili sakata la kuzuiwa kwa mchanga wa madini kusafirishwa kwenda nje. Hadi sasa chama hicho na mteule hawajatoa taarifa yoyote kuhusu uteuzi huo.

Watu mbalimbali kupitia mitandao wametoa maoni yako kuhusu uteuzi huo, jambo kubwa likiwa ni kwa namna gani kiongozi huyo atakwenda kutekekeleza ilani ya Chama cha Mapainduzi. Wengi waliotoa maoni walisema kuwa, Mkuu wa Mkoa ni mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM na mjumbe wa vikao vya CCM Mkoa, hivyo swali linakuwa, je! Anna Mghwira ambaye ni mwanachama wa ACT Wazalendo, ataingia kwenye vikao vya CCM?

Hapa chini ni maoni ya baadhi ya watumiaji wa mitandao kuhusu uteuzi huo. Na wewe unaweza kuandika maoni yako chini mwishoni mwa habari hii.

KATIBA INASEMA MKUU WA MKOA AMBAYE NI MWANACHAMA KUMBE KUNA AMBAYE SIYE MWANACHAMA ….HAIHITAJI DEGREE YA SHERIA
KUONA HILI 

— HENRYAMANI (@HENRYMSUYA1) JUNE 3, 2017
HONGERA SANA MAMA πŸ‘πŸ‘KWA KUTEULIWA NA RAIS KUWA MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO, NAKUAMINI SANA 

— DAVID GUNDA (@DAVIDGUNDA1) JUNE 3, 2017
MKUU WA MKOA NI MJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CCM NA MJUMBE WA VIKAO VYA CCM MKOA! JE, ANNA MWIGIRA ATAKUWA ANAHUDHURIA VIKAO VYA CCM?

— OLE’SEIF (@MBOBEZI) JUNE 3, 2017
SASA WABUNGE WA CCM WAJIFUNZE KUTOKA KWA MHESHIMIWA RAIS. WAKATI YEYE ANAONA KARAMA YA UONGOZI KWA UPINZANI, WABUNGE CCM WAFUATE NYAYO HIZO

— DOTCODOTTZ (@BMATUNGWA) JUNE 3, 2017
KWA MAANA HIYO CHAMA CHA MAPINDUZI HAKINA MWANACHAMA AMBAYE ATAWEZA KUWA MKUU WA MKOA?

— NTOBI (@IMMANTOBI) JUNE 3, 2017
KITILA KATIBU WA WIZAR YA MAJI ANNA MWINGIRA MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO KWA MAANA @ACTWAZALENDO KUNA VIONGOZI MAKINI SOON @ZITTOKABWE

— DR SOKO JR (@NATHANIELIMANI) JUNE 3, 2017
SIO TU KAWA MKUU WA MKOA KILIMANJARO; BALI PIA MJUMBE WA KAMATI YA SIASA YA CHAMA CHA MAPINDUZI MKOA WA KILIMANJARO! @ZITTOKABWE @CHAHALI

— LIBERATUS MWANG’OMBE (@LIBEBAGASA80) JUNE 3, 2017
KITILA ACT :KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI
ANNA MGWIRA ACT :MKUU WA MKOA KILIMANJARO
ZITTO KABWE ACT :WAZIRI NISHATI NA MADINI. END OF STORY.

— HANDSOME LA KIJIJI (@MANENOIZAAK) JUNE 3, 2017
MKUU MPYA WA MKOA WA KILIMANJARO KWENYE MAJUKUMU YAKE ATATUMIA ILANI IPI SASA?YA CHAMA CHAKE AU TAWALA?BADO NAWAZA πŸ€”

KWA MUJIBU WA KATIBA YA CHAMA CHETU, MKUU WA MKOA NI MJUMBE WA KAMATI YA SIASA YA MKOA, HONGERA ANNA MGWIRA NA KARIBU CCM !!

— MCHOKOZI!! (@OLEMTETEZI) JUNE 3, 2017
ITAKUWAJE MAMA MGHWIRA ATAKAPOPEWA “MAELEKEZO KUTOKA JUU” KUZUWIA MKUTANO WA ZALENDO MKOANI MWAKE? #THINKINGALOUD  

— EVARIST CHAHALI (@CHAHALI) JUNE 3, 2017
ACT ND’O IMEISHA HIVO…KITILA KACHUKULIWA, MSANDO KACHUKULIWA NA GIGY…ANNA MGHWIRA NAYE KACHUKULIWA…KABAKI ZITTO PEKE YAKEπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

— MR BEN (@ERICBERNARD692) JUNE 3, 2017
NAENDELEA KUMTIA MOYO @ZITTOKABWE ASIVUNJIKE MOYO HATA KAMA UTALAZIMISHWA KUPITA KWENYE MTEREMKO WENYE UTELEZI MKALI. KEEP DOING WHAT YOU DO

Wednesday, 24 May 2017

BREAKING NEWS !!!!!HII HAPA ORODHA YA MAJINA YA WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WANAOJIUNGA NA JKT KWA MUJIBU 2017
πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½ http://bongolatestblog.blogspot.com/2017/05/breaking-news-hii-hapa-orodha-ya-majina.html

BONYEZA HAPO KUONA MAJINA NA KAMBI WALIZOPANGIWA πŸ‘†πŸΌπŸ‘†πŸΌπŸ‘†πŸΌ
http://bongolatestblog.blogspot.com/2017/05/breaking-news-hii-hapa-orodha-ya-majina.html

Tuesday, 23 May 2017

Mambo 50 ya kisaikolojia yatakayokuacha kinywa wazi

Hii ni kwel hata kama ulikua hujui kubali tu, maana ndio ukweli uliopo.

 1. Mtu hufanya ishara nyingi za mikono akiwa anazungumza ukweli. Azungumzae uongo mikono yake huwa imetulia zaidi.

2. Sikiliza kwa makini namna mtu anavyozungumzia watu wengine akiwa na wewe, na ndivyo atakavyokuzungumzia wewe akiwa na watu wengine.

 3. Ndoto zako zinabeba ujumbe mhimu sana. Asilimia 70 ya ndoto zako zina ujumbe wa siri.

4. Kwa kawaida watu huwa waaminifu na wakweli mwili ukiwa umechoka, na ndio sababu hutubu na kutoa siri zao kwenye mazungumzo yatekeayo usiku wa manane,

5. Ukihisi mtu au watu wanakuangalia, angalia saa au muda kama unataka kujua wakati, watu wanaokutazama nao watatizama saa, hii ni kwa sababu kuangalia wakati/mda huambukiza.

 6. Kunywa maji ya baridi sana mapema asubuhi husaidia mwili wako kufanya kazi vizuri hadi asilimia 25.

7. Kukumbatiana huondoa shauku, msongo wa mawazo na huongeza kinga ya mwili.

8. Kushindwa kumtoa mtu akilini mwako imamaanisha kwamba nawe upo akilini mwa mtu huyo.

9. Watu wenya akili yenye ubunifu hupata shida sana kupata usingizi, hivyo hupendelea kuwa macho hadi usiku wa manane.

10. Kama utakataliwa na mtu ambaye kujali kwake ni muhimu sana kwako, basi maumivu utakayopata katika ubongo wako ni kama maumivu ya mwili yanavyokuwa.

11. Mtu ambaye ametendwa au ameumizwa kisaikolojia huwa na hulka ya kukasirika pasipo sababu yeyote ya msingi.

12. Ukitaka kujua kama mtu unaezumguza nae anapenda kusikia unayoyazungumza kunja mikono yako, kama anapenda na anafurahia mazungumzo nae atakunja mikono pia.

13. Kama mtu anachekacheka tu bila sababu maalumu au anacheka sana, basi mtu huyo ana huzuni kuu moyoni mwake, na kama mtu analala kwa mda mrefu sana, mtu huyo ni mpweke.

14. Namna tunavyozungumza na watoto wetu ndivyo inavyokuwa sauti katika mioyo yao.

15. Mtu akitokea katika ndoto unayoota, basi ni kwa sababu mtu huyo kakuhamu (kakumiss).

16. Wa kwanza kuomba msamaha sikuzote ni mwerevu, wa kwanza kusamehe ni mwenye nguvu na wa kwanza kusahau ni mwenye furaha.

17. Mashairi katika wimbo uupendao ni ujumbe ambao unapambana kuufikisha mahala flani au kuwaambia watu flani.

18. Ukitumia mkono wako usiotumika mara kwa mara (wa kushoto kwa wengi) itakusaidia kuwa na ‘self control’.

19. Kama mwanaume atasimama akiwa ametanua miguu yake wakati akizungumza na mwanamke, ni ishara kwamba mwanaume huyo anampenda mwanamke kwa dhati.

20. Mwanaume akiwa hajisikii huru au akiwa hana amani, basi hushika kichwa au uso wakati mwanamke hushika aidha nywele, hereni, mavazi, mikono au shingo.

21. Siku zote fuata wazo linalokuogopesha zaidi, sababu hili ndili litakalo kujenga na kukuimarisha.

22. Aina mbili ya watu ambao hawatakuangalia machoni: mtu anaejaribu kuficha uongo na mtu anaejaribu kuficha mapenzi/ upendo.

23. Wanasaikolojia wanasema mtu anataka kumfurahisha kila mtu huishia kuwa mpweke zaidi.

24. Mtu anaekasirika kirahisi, kwa vitu vya kijinga, inaonesha kwamba anahitaji upendo/kupendwa.

25. Sikuzote wanaoponda au kulalamikia wengine kwa wanayofanya, ndicho kile wanachofanya wao au wanatamani kufanya wao- elewa hili.

26. Kulia ni afya kwako. Huondoa bacteria wabaya mwilini mwako, hukupunguzia msongo wa mawazo na kukuongezea kinga ya mwili.

27. Saikolojia inasema: Huogopi kupenda, unachoogopa ni kutokupendwa (afraid of not being loved back).

28. Ukweli wa mambo: uko karibu zaidi na kufanikisha malengo yako kama utayaweka kuwa yako pekee, yaani kuwa ni siri yako.

29. Saikolojia inasema: kujifanya mwenye furaha wakati una maumivu ni mfano wa kuonesha ni jinsi gani wewe ni mwanadamu mweye nguvu. (strong person).

30. Kabla ya kulala, asilimia 90 ya akili yako huanza kufikiri mambo ambayo ungependa yatokee.

31. Watu wanaotembea kwa hatua za harakaharaka huonekana kuwa wanajiamini na wenye furaha zaidi kuliko wanaotembea taratibu.

32. Watu wanaojua utani zaidi wanajua kusoma akili za watu pia.

33. Ubongo wa mwanadamu alielala unaweza kuelewa mazunguzo ya watu walio karibu eneo hilo.

34. Ukiwa uaongea na mtu, ongea huku ukitaja jina lake, hii itasaidia kupendwa zaidi na mtu huyo.

 35. Kufuatana na uchunguzi wa wataalam, kumtamani mtu kingono hiushia miezi minne, zaidi ya hapo utakuwa ni upendo wa dhati.

36. Uchunguzi unaonesha kuwa watu wanaolala na mito mingi ni wenye msongo wa mawazo na wapweke.

 37. Umbo la ubongo wako hubadilika kila unapojifunza jambo jipya.

38. Watu wakiwa katika kundi na ikatokea kuna kucheka, wale walio na mahusiano ya karibu zaidi hutizamana.

39. Kwa namna mwandiko wa mtu unavyokosa mpangilio au kuwa mbaya ndio kiashirio kwamba mtu huyo anafikiri haraka zaidi ya mikono yake inavyoweza kuandika.

40. Kuna watu wana alama ya asili ya kuwaamsha muda  wanaotaka, hii ni kwa sababu wana homoni ya asili ya stress.

41. Haiwezekani kukaa na hasira dhidi ya umpendae kwa mda mrefu. Hasira inayofika siku tatu au zaidi inamaanisha kwamba hauna upendo.

42. Chakula cha kwenya ndege hakina ladha sana sababu uwezo wetu wa kutambua ladha hupungua kwa asilimia 20 hadi 50 tukiwa angani.

43. Kama urafiki utafikisha miaka saba, basi urafiki huo utadumu milele.

44. Kama mtu akiongea na wewe halafu kwenye maongezi akakungalia machoni kwa asilimia 60 ya maongezi basi umemboa mtu huyo. Kama atakuangalia kwa asilimia 80 basi umemvutia mtu huyo na kama itafikia asilimia 100 basi mtu huyo anakutishia.

45. Katika sekunde tatu za mwanzo unapoamka, huwezi kumbuka chochote.

46. Uoga waweza kuua. Hii ni kwa sababu mwili huzalisha adrenalin ambayo ni sumu ikizidi. 47. Kawaida, mtu akianza kulia atakumbukaia matukio mengine yaliyomsikitisha au kumchukiza ili kuongezea ubongo wake hamu ya kulia.

48. Unapopiga chafya, unakufa kwa sekunde. 49. Unapotekenywa hucheki, bali ni itikio na kupaniki (panic response). Huwezi jitekenya mwenyewe kwa sababu mwili hauhisi hatari yoyote. Kawaida enzi za zamani kutekenya ilitumika kama adhabu.

50. Kukosa usingizi husababisha ubongo kutokumbuka mambo kiusahii