Matumizi ya teknolojia ya kuwasaidia waamuzi VAR, yataanza kutumiwa katika mashindano yote yanayoandaliwa na Uefa, hiyo ni baada ya teknolojia hiyo kutumika kwa mara ya kwanza katika medani ya kimataifa katika fainali za Kombe la Dunia 2018, ambapo Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) limedai ilileta ufanisi licha ya kuwa na changamoto chache na kuagiza vyama na mashirikisho yaliyo chini yake kuanza kutumia.
Friday, 28 September 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment