.

.

Saturday, 30 May 2015

Ni mengi yataongelewa na ktukanwa na kwa wale wasiyopenda mafanikio ya WEKUNDU WA MSIMBAZI. Lakini hayo ni maneno ya wakosaji tu njoo ufunge magoli na wtakusuluti tu! watani zangu mnaongea sana angalieni mtaendelea kuwa mateja, japo mwajifariji eti mkifungwa mnachukua ubingwa msimu huu angalieni mtaambulia zero

wanaohitaji kufanya kazi marekani ingia hapa!
Https://apply.embark.com/student/fulbright/flta/.

Happy Sabbath

Happy Sabbath

Tuesday, 26 May 2015

Ama kweli duniani ni mapito, unaweza usiamini kwa macho au masikio yako, lakini hapo kwa waaminio usema kuwa MUNGU ndo wakati wa kujitukuza na sisi binadamu kusema Amina! Ni kama  miezi michache iliyopita baada ya kumpoteza mpendwa wetu (classment kitangiri sec 2001), Mr Briro Maganyi leo tena msiba mwingine umetukuta wa dada yetu Bi Sofia Yamola. Kwa haya yote tunasema jina la Bwana lihimidiw. Binafsi naungana na familia ndugu na marafiki kwa kipindi hiki kigumu cha majonzi na Mwenyezi Mungu atuongoze katika kipindi hiki.

Saturday, 23 May 2015

Mlinzi wa klabu ya Paris St-Germain David Luiz amevishtumu vyombo vya habari kwa kukosa heshima baada ya kukanusha madai kwamba yeye hajawahi kushiriki katika tendo la ngono.
Ripoti hizo zilianza kusambaa baada ya mchezaji huyo wa zamani wa Chelsea mwenye umri wa miaka 28 kusema katika instagram kwamba yeye na mpenziwe ''wako tayari kungojea''.
Aliiambia BBC focus kwamba.''Dini yangu,ubaatizaji wangu,nafurahia.
Watu wanasema maneno kila mahala kuhusu iwepo mimi sijawahi fanya tendo la ngono.''Ukweli ni kwamba mimi nishawahi kushiriki katika tendo hilo''.

Huku maandamano yakumpinga yakiendelea rais Nkurunziza anatumia muda wake akicheza mpira na marafiki mjini Bujumbura.

Happy Sabbath dear friends, around the world.  Love u all!