Ama kweli duniani ni mapito, unaweza usiamini kwa
macho au masikio yako, lakini hapo kwa waaminio usema kuwa MUNGU ndo wakati wa
kujitukuza na sisi binadamu kusema Amina! Ni kama miezi michache iliyopita baada ya kumpoteza
mpendwa wetu (classment kitangiri sec 2001), Mr Briro Maganyi leo tena msiba
mwingine umetukuta wa dada yetu Bi Sofia Yamola. Kwa haya yote tunasema jina la
Bwana lihimidiw. Binafsi naungana na familia ndugu na marafiki kwa kipindi hiki
kigumu cha majonzi na Mwenyezi Mungu atuongoze katika kipindi hiki.
0 comments:
Post a Comment