Ni Mbwana Sammata ucku wa kuamkia leo tarehe 9-4-2015 aliipatia timu yake goli la 3 katika ushindi wa 4-0, goli ambalo alilifunga dak sawa na jezzy yake dk ya 77' akitokea benchi na ilikuwa ndo first tourch! Congratration mbwana ally sammata.
Saturday, 9 April 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment