.

.

Thursday, 4 August 2016

Najua kama wewe ni mmoja kati ya wapenda
soka, basi jina la mchambuzi wa soka mkongwe
Dr Leaky litakuwa sio geni masikioni mwako, Dr
Leaky ambaye tutaanza kumuona tena msimu
huu kupitia TV 1 ambao wamepewa mamlaka ya
kuonesha Ligi Kuu England msimu wa 2016/2017
ametabiri Bingwa EPL kabla hata ya Ligi Kuanza.
Dr Leaky ametabiri bingwa Ligi Kuu England
msimu wa 2016/2017 itakuwa ni klabu ya Man
City inayofundishwa na Pep Guardiola “Mwaka
huu nafikiri Bingwa wa EPL atakuwa ni Pep
Guardiola kwa mfano kama ni wale wat wa
betting huwa wanaangalia vigezo vingi, lakini
Guardiola nasema atakuwa Bingwa kutokana na
kikosi alichonacho”

0 comments:

Post a Comment