Adi Yussuf ni mtanzania anayecheza soka la kulipwa katika klabu ya daraja la pili
Uingereza kwenye klabu ya
Mansfield Town.
Adi pia amekulia katika klabu ya
Leicester City ila kwa sasa yupo
Tanzania kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya
Chad wa kuwania kufuzu michuano
AFCON 2017 Gabon.
“Ni
kweli mwanzo ilikuwa ngumu kwa klabu yangu ya Mansfield Town kuniruhusu
nije Tanzania kwa sababu ilikuwa tunahitaji kupandisha timu, ila sasa
wameniruhusu nije kuchezea timu yangu ya taifa” >>> Adi Yussuf
0 comments:
Post a Comment