Nahodha Mussa Hassan ‘Mgosi’ alisema tatizo la Simba wanaipima timu yao
kwa mafanikio ya Yanga na hasa kuwa kwao kileleni, lakini wanashindwa
kujua wapinzani wao wameshinda mechi zao wakiwa kwenye viwanja vipi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment