.

.

Thursday, 6 August 2015

Profesa Lipumba akizungumza na waandishi wa habari.

Profesa Lipumba akizungumza na waandishi wa habari.

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amejiuzulu rasmi wadhifa wake huo ndani ya chama kwa kikle alichokitaja kuwa ni kukiukwa kwa Katiba ya chama hicho.
Kujiuzulu huko kunahitimisha wasiwasi wa muda sasa ndani ya chama chake kuhusu hatima yake kutokana na sababu ambazo hazikujulikana mara moja.Profesa Lipumba alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa chama mwaka 1999 na kugombea urais katika vipindi viinne ambavyo vyote alishindwa.
Tutawaletea habari kamili hivi punde.

0 comments:

Post a Comment