.

.

Monday, 10 November 2014

wale waliokuwa wapinga kwa msanii diamond plantnumz kutunukiwa shahada ya uzamivu (phd) kama inavyoonshwa hapa kwenye picha!

Sunday, 27 July 2014

hawa jamaa yupi unamkubali?

hawa jamaa yupi unamkubali?

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ubelgiji Divorc Origi hatimaye amejiunga na timu ya Liverpool.
Baba yake Origi, Mike Okoth, ambaye ni mchezaji wa zamani wa timu taifa ya Kenya Harambee Stars amethibitsha mwanawe Divorc amesaini mkataba na Liverpool ambao walifurahishwa na mchezo wake mzuri alipoiwakilisha Ubelgiji kwenye kombe la dunia.

Sunday, 20 July 2014

James Rodrigues tayali kafik jijini Madrid kusaini kuichezea timu hiyo kwa uhamisho wa pound 63. mchezaji huyo wa Monaco na timu ya taifa ya Columbia aliyeng'ara katika mashindano ya fainali za kombe la dunia wiki mbili zilizopita alionesha furaha yake baada ya kuibuka mfungaji bora. Ameonesha furaha yake ndani ya Santiago Bernabeu. Mchezaji huyu pia aliitajika sana na Mashetani wekundu lakini walizidiwa kete na Real Madrid.

SOMO KWA WAISLAM

SOMO KWA WAISLAM

Saturday, 19 July 2014

Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome amewataka Watumishi wa Wizara hiyo kuwa wabunifu zaidi na kuhakikisha kuwa wanachokibuni kiwe kinatekelezwa na kuchukua hatua kwa wasiotekeleza maelekezo ya kisera pamoja na kuwazawadia wanaotekeleza kwa ufanisi maelekezo yanayotolewa. “Watumishi wa Wizara hii tunatakiwa tujiulize tunafanya ubunifu gani ili kuhakisha wahitimu katika ngazi mbalimbali wanapata maarifa yanayotakiwa na wanaoweza kusaidia nchi katika kuleta maendeleo katika nyanja mbalimbali,” alisema Profesa Mchome. Profesa Mchome alikuwa akizungumza na Watumishi wa Makao Makuu na Taasisi zilizoko chini ya Wizara hiyo katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (Julius Nyerere International Convention Centre), Ijumaa 18 Julai, 2014 ikiwa ni utaratibu aliojiwekea wa kukutana na watumishi hao na kujadiliana namna bora zaidi ya kuboresha utendaji kazi katika wizara. Aidha, Profesa Mchome alizungumzia umuhimu wa kuboresha Muundo wa Wizara hiyo ili kuwezesha namna bora ya kutekeleza majukumu yake baada ya ugatuaji wa uendeshaji na usimamizi wa shule za Sekondari kwenda kwenye Halmashauri chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI na kwa kufuata Hati Idhini iliyounda Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi iliyotolewa na Mheshimiwa Rais, Desemba 2010.

HATUTAKUBALI UCHAGUZI 2015 UFANYIKE KWA KATIBA YA SASA
  Ni maneno yaliyokaririwa na viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wamesema hawako tayari kushiriki Uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka kesho huku nchi ikiwa na Katiba ya zamani, hivyo Jumatatu wanatarajiwa kuingia katika mazungumzo kunusuru mchakato mzima wa Katiba.
Wameeleza kuwa, kwa kutambua muda mfupi uliobaki kati ya mchakato wa Katiba kumalizika na Uchaguzi Mkuu, watafanya mazungumzo hayo kwa faida ya Taifa na wananchi waliojitokeza kwa wingi kuwasihi warejee katika Bunge Maalumu la Katiba linalotarajiwa kurejea kwa siku 60 kuanzia Agosti 5, mwaka huu.
Akizungumza jijini Dar es Salaam, mmoja wa viongozi wa umoja huo ambaye ni Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, Freeman Mbowe alisema nina yasema haya kwa niaba ya Mchumi bingwa duniani Prof Ibrahim Lipumba na James Mbatia wana imani kuwa taifa linahitaji Katiba mpya hivyo watajadili katika mazungumzo hayo ya Jumatatu ili kuwawezesha kupata njia mbadala iwapo mchakato huo utakwama.
“Napenda kuwataarifu wananchi kuwa Ukawa tuko tayari kwa mazungumzo kwa nia ya kunusuru mchakato wa Katiba kuendelea kama walivyotusihi watu mbalimbali, lakini tutaenda katika mazungumzo hayo Jumatatu kwa kuhakikisha mchakato huo hautanajisiwa,” alisema Freeman Mbowe.

Ni katika mechi za majaribio ambapo liverpool iliibuka kwa ushindi wa goli 2 kwa 1 dhidi ya Preston
Liverpool
YNWA.

Ni baada ya siku tano timu ya yake ya taifa kuchukua ubingwa wa dunia mchezaji huyo na nahodha wa timu hiyo ametangaza kuachana na michezo ya kimataifa.

Baada ya kufikisha wachezaji wanne clabuni Chelsea Meneja wa timu hiyo Jose Mourinho amesema hana mpango wa kusajili wachezaji wengine.
Boss huyo amesema amemaliza kununua wachezaji msimu huu baada ya kukamilisha usajili wa beki wa kushoto Filipe Luis kutoka Atlètico Madrid.
Luis ni mchezaji wa nne mpya kusajiliwa na Mourinhomsimu huu baada ya Cesc Fabregas, Mario Pasalic na Diego Costa.
"Tumefunga biashara leo," amesema Mourinho. "Dirisha la usajili linafungwa Agosti 31, lakini sisi tumefunga Julai 19.
"Klabu yangu imefanya kazi nzuri, sio kwa wachezaji tulionunua tu, lakini pia kwa sababu tumemaliza biashara mapema kabisa."
Chelsea wamekuwa wakihusishwa na wachezaji kadhaa wa bei ghali msimu huu, akiwemo Sami Khedira wa Real Madrid na Radamel Falcao wa Monaco.

Ni mmea uliogeuka kuwa lulu nchini Tanzania na nchi jirani kusadikika kuwa ni dawa inayotibu virusi vya HIV.

Mmea unaojulikana kama chikanda uliopo katika hifadhi ya kitaifa ya Kitulo mkoani Njombe kusini Magharibi mwa Tanzania sasa unakabiliwa na hatari ya kuangamia.
Hi ni baada ya kuvamiwa na watu wanaoamini kuwa unatibu maradhi ya Ukimwi.
Biashara ya kuusafirisha na kuuza mmea huo imekuwa ikinoga kati ya eneo hilo na mataifa jirani ya Zambia na Malawi.

Kundi la Alshabaab limeendeleza wimbi la mashambulizi katika mji wa lam nchini Kenya na  limekiri kutekeleza shambulizi katika basi moja la abiria katika pwani ya Kenya hapo jana usiku.
Shirika la msalaba mwekundu limesema kuwa watu saba walipigwa risasi na kufariki huku wengine wengi wakijeruhiwa.
Shambulizi hilo lilitokea katika mji wa Witu katika Kaunty ya Lamu.
Watu kadhaa wameuawa katika Pwani ya Kenya katika kipindi cha miezi kadhaa iliopita.
Kundi la Alshabaab limekiri kutekeleza mauaji hayo.
Linasema kuwa linalipiza kisasi kuwepo kwa majeshi ya Kenya nchini Somali.
Ghasia hizo zimeathiri pakubwa sekta ya utalii nchini Kenya.

Happy sabbath my dear Adventist around all over the world. Be blessed for keeping sabbath as claimed in Exodus 20:8 

Mauji ya kutisha yametokea Marangu, ambapo houseboy amemuuwa mtoto wa boss na kula ubongo wake na kisha kukata uume wake na kisha kujiua yeye mwenyewe chanzo cha mauaji haya hakijafahamika, Maginameru itakujurisha kwa taarifa zaidi.
Angalia picha za kutisha hapa chini.

Sunday, 13 July 2014

Katika fuatilia zangu nimegundua kuwa timu ya taifa ya Argetina hainaga kasumba ya kuita wachezaji weusi au Argentina ngo haina weusi wanaojua kusakata kabumbu niusidieni wadau wangu. Baada ya hapo nitakuletea makala ni kwa nini hawa jamaa hawana nafasi ya mtu mweusi kushiriki katika shughuri za kimataifa..... (usikose kufuatilia baada ya kuwa wamepewa kichapo n
a Ujerumani)

Tanzania itapokea Dola za kimarekani milioni 122 kwa miaka minne ijayo kutoka miaka, Benki kuu ya Dunia. ambao no mkopo wenye lengo la kuongeza ubora wa elimu katika shule za msingi na sekondari nchi kupitia mpango wa “Big Results Now in Education”,
Haya yalisemwa alna Mkurugenzi wa Benki kuu ya Dunia nchini, Bw Philippe Dongier, siku ya ijumaa.

Akiongea Dongire alisema elimu inaweza kubadilika kabisa na ikawa bora nchini Tanzania ikiwa kila mtoto anaweza kupata aina ya mafunzo ambayo yanaweza kufungua milango mipya ya baadaye.

Benki kuu ya dunia imeunda timu ya wataalamu katika upande wa elimu, ili kusaidia mpango wa “Big Results Now in Education” ili kuhakikisha watoto katika shule za msingi na sekondari nchini Tanzania wanasoma katika mazingira mazuri na kwa ufasaha zaidi.

Mwenyekiti wa ukawa Prf  Ibrahim Lipumba amekaliliwa akisema 'UKAWA hatutapoteza MUDA kuzungumza na Msajili wa vyama Jaji Mutungi wala Mwenyekiti wa Bunge la katiba Samweil Sitta.
Kama mazungumzo yafanyike yafanywe na Rais Kikwette huyu ndiye aliyevuruga mchakato wa Katiba Mpya kwa MAKUSUDI.
CCM wanatambua kwanini UKAWA walitoka Bungeni HOJA ni kurejea kwenye rasimu ya Warrioba yenye maoni ya wananchi na MJADARA uendelee vya suluhu ni kuendeleza kupoteza pesa za walipa KODI masikini.
Mh: Rais awaombe radhi watanzania na apunguze usani kwa mambo mazito ya nchi akifanya hivyo Katiba mpya inapatikana bila malumbano yoyote.

Maafisa wa Palestina wanasema kuwa watu kumi na saba wa familia moja wameuawa baada ya makombora ya Israel kuharibu nyumba moja ya ghorofa tatu ya mkuu wa polisi wa Hamas.
Tayseer Al-Batsh anadaiwa kujeruhiwa katika shambulizi hilo.
Mashambulizi hayo yanajiri baada ya wapiganaji wa Hamas kurusha makombora ya masafa marefu katika miji ya Israel ikiwemo Tel Aviv.
Maafisa wa Israel wanasema kuwa makombora mawili ya Roketi yalirushwa kutoka lebanon lakini yakaanguka katika eneo lililo wazi kazkazini mwa Israeli.
Na katika hatua ya kulipiza kisasi ,Israel ilirusha makombora nchini Lebanon na kuzidisha hofu kwamba huenda mzozo huo ukapanuka.
Takriban raia 150 wa Palestina wameuawa katika mashambulizi hayo huku ikiwa hakuna vifo vyovyote vilivyoripotiwa nchini Israel.
 
Hakuna siku iliyokuwa ikisubliwa kwa ham kama siku ya tarehe 13/7, kwa wapenda soka duniani kote. kitu kinacopelekea watu kukana utaifa wao kwa muda wakifikiri kuwa hawajakosea na kusingizia ushabiki. hivyo vita ya leo haina mwenyewe ni ya dunia nzima, baina ya pande mbili yaani Arg vs Ger. Ushabiki huu utakuwa umegawanyika kivilabu balani ulaya,  mashabiki wa bacelona aslimia 90 watakuwa upande wa Argetina, na mashabiki wa madrid asilimia 70 watakuwa German kwa sababu ya kumchukia Messi. Asenal vijana babu, wao inaeleweka wanasema hawajachanganganya nasaba na Argentina, wao ni Wajerumani, watoto wa nyumbani Mesaside Liverpool wao wanaangukia argentina eti kuna veterani wao Max Rodrigues na Xavie Mascherano. The bluessss wao hawakuwa na upande ila wametafutiwa kwa kuwaaibisha vijana wao watoto wa nyumbani kupigwa 7 hivyo wana hasira wanamuongeza nguvu argentina kuwalipizia kisasi cha hizo goli 7.
Manchester City wao wanasema lazima wawapw vijana wao nguvu ya kuchukua ubingwa si wengine ni Zabaleta na Bwana minywele. Man u leo wapi...... wadau wa man nambieni.

Saturday, 12 July 2014

MANGALA AFANYA MEDICAL MAN CITY
Eliaquim. Mangala amewasili Manchester kufanya vipimo vya afya ili kukamilisha uhamisho wake wa pauni milioni 31.8 kwenda Manchester City.
Kwa mujibu wa Goal.com Mangala ameonekana akiingia katika hospitali ya Bridgewater kufanya vipimo hivyo kabla hajasaini mkataba wa muda mrefu kwa mshahara wa pauni 90,000 kwa wiki

Kama mwana uchumi siungani na benki kuu (BOT) kufuta noti ya shilingi mia tano 500/= na kuifanya sarafu. hii kimtamo wa kifalsafa tunasema ni (the most unpleasant economic decision) kwa sababu zifuatazo.
Mosi: fedha yeyote inapobadilishwa kutoka shilingi kuwa salafu ni kuishusha thamani. Hii ni kwa  sababu kiuchumi inabadilika matumizi na kuanza kutumika katika zaidi katika sekta ya uchumi mdogo, mfano kwa wauza njugu, mama lishe na maeneo mengine yasiyozalisha kiuchumi, ( less productive sector).
Maeneo yenye uzalishaji mkubwa (lead productive sector) yanashindwa kuitumia  fedha hii kwa kuwa tu ni sarafu, tuchukulie matharani maeneo kama airport, migodini au supermarket  haitakuwa rahisi kukuta fedha hii, hiki ni kiashiria cha kushuka kwa thamani ya fedha hiyo. (Indicator for Currency Devaluation).
Hivi kwa nini hatujiulizi kwa nini Marekani hadi leo hii dolla moja ni ya noti? Sisi sh. 500/= tunaiweka kwenye sarafu??????????????? Dolla moja yenye single digit iko kwenye not, sisi tunalazimisha 500 yenye triple digit kwenye sarafu.
PILI: Unapotengeneza sarafu ya pesa kubwa ni kuandaa mazingira ya pesa nyingi kujiondoa katika mzunguko, kwani sarafu ni rahisi sana kupotea. Kwa mtazamo huo tutegemee sarafu ya shilingi 50/=, 100/= na 200/= kutoweka kabisaaaa.
Ikifikia hatua hii ujue nchi imeanza kuyumba kiuchumi na mfumko wa bei umevuka kiwango cha kawaida (extention from moderate infiation to galloping inflation),
Majirani zetu ambao hatuko nao mbali kiuchumi wanatumia sarafu y ash. 10/= ambayo utaona inatumika kama kawaida. Hapa kwetu sarafu za sh. 5, 10, 20, zimeondoka na viongozi wao tusubilie sarafu za sh.50, 100, na 200, Zitamfuata na ahera. 
TATU: BOT wamekuja na hoja mfirisi kwamba wamefuta noti ya shilingi 500/= kwa sababu noti hiyo inachakaa mapema na inadumu kwa mda mfupi kwenye mzunguko .
Hoja hii ni mfirisi kwa sababu jawabu la noti kuchakaa mapema si kureplace kwa sarafu, bali ni kuimarisha noti hiyo kwa kutengeneza kwa kutumia material imara. Hebu jiulize noti ya shilling  10000/= ikichakaa mapema wataleta sarafuuuu???????????????? Chonde chonde BOT. ninavyoelewa mimi  sifa mojawapo ya fedha ni kukaa kwenye mzunguko mda mrefu (durability) sasa pesa inapopoteza durability dawa siyo kubadili muundo wake. (changing of currency format is not a solution for impermanency)
Lakini hata hivyo BOT wameonesha hawakufanya utafiti wa kina kabla ya kuleta sarafu ya shilingi mia tano. Na hoja walizokuja nazo hata  mtu aliye na misingi saba anazitilia walakini. Prf  Ndullu tizama kwa jicho la tatu kwa hoja ulizotoa kama zina mashiko kwa watanzania.
Kiuhalisia ni kwamba kwa namna yeyote ile lazima noti ya shilingi 500/= iwahi kuchakaa kuliko noti ya shilingi 10000/=, sababu ni hii hapa noti ya shilling 500 inaweza kupita mikononi mwa watu 2000 ndani ya mwezi mmoja wakati noti ya 10000 au noti nyingine kubwa haitokuwa na mzunguko wa namna hiyo labda robo yake, hivyo kuchakaa ni sahihi cha kufanya ni kuiboresha na siyo replacement ya sarafu.
Ndo hayo tu wanauchumi kazi kwenu kwani mmesoma ili mtumike, watanzania wa chini tunaumia sana kuona Tanzania inateteleka kiasi hiki wakati ina makotena ya wasomi au ni wasomi wa mishahara?  I LOVE MY TANZANIA

Kiuhalisia ni kwamba kwa namna yeyote ile lazima noti ya shilingi 500/= iwahi kuchakaa kuliko noti ya shilingi 10,000/=, sababu ni hii hapa noti ya shilling 500 inaweza kupita mikononi mwa watu 2000 ndani ya mwezi mmoja wakati noti ya 10,000 au noti nyingine kubwa haitokuwa na mzunguko wa namna hiyo labda robo yake, hivyo kuchakaa ni sahihi cha kufanya ni kuiboresha na siyo replacement ya sarafu.
Ndo hayo tu wanauchumi kazi kwenu kwani mmesoma ili mtumike, watanzania wa chini tunaumia sana kuona Tanzania inateteleka kiasi hiki wakati ina makotena ya wasomi au ni wasomi wa mishahara?  'I LOVE MY TANZANIA'

Mpenzi msomaji katika blog hii napenda kukujulisha kwamba kuanzia  tarehe 15/07/2014 nitakuletea jarida la afya litakolo elezea aina mbalimbali za magonjwa na tiba zake kwa kutumia vyakula vya asili mboga mboga  na matunda karibuni Eden. 

Friday, 11 July 2014

OLYMPUS DIGITAL CAMERA

Ni hali isiyomithirika nchini Zimbabwe kukumbwa na janga la njaa linalopelekea wanafunzi wa shule humo nchini. Wazazi wa watoto hao walisikika wakisema kuwa chanzo kikuu kinachopelekea hali hiyo ni hali ngumu ya maisha nchini humo, wazazi hao wamehofia kwa wanao kupata mimba za umri mdogo na kuambukizwa magonjwa ya zinaa.Watoto wanaodaiwa kukumbwa na tatizo hilo ni kati ya miaka 13 na 16. chanzo This is Africa

Nicola Rizzoli amechaguliwa na Fifa kuwa mwamuzi katika mchezo wa fainali - Kombe la Dunia Brazil 2014 kati ya Ujerumani na Argentina.
Howard Webb kutoka England, aliyechezesha fainali ya Kombe la Dunia 2010 Afrika Kusini, aliorodheshwa lakini hakuchaguliwa.
Ujerumani itapambana na Argentina kwenye dimba la Maracanã, jijini Rio De Janeiro, siku ya Jumapili Julai 13.
Rizzoli ni msanifu majengo kutoka Bologna, na tayari amechezesha mechi tatu katika michuano ya Kombe la Dunia Brazil.
Mwamuzi huyo mwenye umri wa miaka 42 alichezesha mechi kati ya Spain dhidi ya Uholanzi, Nigeria na Argentina na Argentina ilipocheza na Ubelgiji.
Rizzoli pia alichezesha mchezo wa fainali ya Ligi ya Europa kati ya Atlètico Madrid dhidi ya Fulham mwaka 2010, na pia mchezo wa fainali ya Uefa Klabu Bingwa Ulaya mwaka 2013 kati ya Bayern Munich na Borussia Dortmund.
Rizzoli atasaidiwa na waamuzi wa pembeni Renato Faverani na Andrea Stefani, na mwamuzi wa nne atakuwa Carlos Vera kutoka Ecuador.
Rizzoli atakuwa mwamuzi wa tatu kutoka Italy kuchezesha fainali, baada ya Sergio Ginella mwaka 1978 na Pierluigi Collina mwaka 2002.

KOCHI UNIVERSITY OF TECHNOLOGY SCHOLARSHIP PROGRAM FOR INTERNATIONAL STUDENTS
Course: Doctoral Degree
Deadline: September 18, 2014
Study in Japan
Brief description:
Kochi University of Technology offers special scholarship program for international students to pursue doctoral degree within the department of Engineering at Graduate School of Engineering. The scholarship is awarded for one year but the term will be extended for increments of one year up to a total of three years, unless the university terminates the SSP student status for any of the reasons stated.
Study Subject (s):
Scholarships are awarded in the Department of Engineering at Graduate School of Engineering.
Eligibility:
(1) To have nationality other than Japanese.
(2) To have or have the intention to acquire the “Student” status of Japanese residence, at the time of entrance in accordance with the Immigration Control and Refugee Recognition Act in Japan.
(3) To have or to be expected to acquire a master’s degree before enrollment.
(4) To have excellent academic records in both bachelor’s and master’s degrees.
(5) To be 35 years old or under at the time of enrollment.
(6) To have the intention, adequate knowledge and research skill to work as a research assistant in one of the research projects listed.
(7) To have a high English proficiency.
Scholarship Description:
The Special Scholarship Program (SSP) established in 2003 in order to support the advanced research of the university by enlisting the help of highly capable students especially students from foreign countries. Every year in April and October, the university enrolls selected doctoral students for specific research projects. The students pursue the doctoral course in English (excl. Japanese students) while at the same time assisting their host professor as a research assistant (RA). Through this program KUT wishes to expand and deepen international ties with academic and educational institutions all over the world.
Duration of award (s):
Scholarship is offered for one year but the term will be extended for increments of one year up to a total of three years, unless the university terminates the SSP student status for any of the reasons stated below:
(1) In the case where a student’s report, submitted in accordance with term 5-(2), is assessed as being below the standard for SSP students.
(2) In the case of behavior which is deemed inappropriate for an SSP student.
What does it cover?
1) Exemption from 30,000 yen entrance fee, 300,000 yen enrollment fee and 535,800 yen/year tuition fee.
(2) To support living expenses, 150,000 yen/month is paid for research project work.
(3) 150,000 yen is provided for travel and initial living costs (given only to foreign students who are living outside Japan, and who have, or have the intention to acquire, “Student” status of Japanese residence at the time of entry into Japan)
Selection Criteria:
The submitted documents will be carefully examined in the course of the first screening. Only applicants who are successful in that screening will then be examined in such forms as an interview, an English written exam, an academic achievement written exam in the specialized field required for the conduct of the selected research project, etc.
How to Apply:
(1) Choose a research project from the:
http://www.kochi-tech.ac.jp/kut_E/graduate/ssp_projects.html
(2) Complete and submit all required documents by post.
Applicants will be notified about Primary Screening Result by End of November, 2014 and about Admission Decision by End of December, 2014.
For more details Visit the official website:
http://www.kochi-tech.ac.jp/kut_E/graduate/admission1.html

hussein-sharrif-CasillasnNi aliyekuwa golikipa wa mtibwa Hussein Sharrif alimaarufu Iker Casilas, usajili huo ni baada ya wekundu hao kumtema golikipa mghana Yaw Beko, hivyo wekundu hao kubaki na makipa wawili tegemeo yaani Casilas na Ivo. Casilas amesaini kuchezea wekundu hao kwa mda wa miaka miwili. Kila la kheli Casilas ndani ya wekundu wa msimbazi.

Pamoja na kumshindili baba mwenye nyumba goli 7 kwa nunge, lakini rekodi ya Olegi imeshindwa kuvunjwa. Ni mchezaji ambaye aliweza kufunga goli 5 katika mechi moja. Ilikuwa ni kati ya Camerooni na Russia katika fainali za mwaka 1994. Oleg Salenko rekodi yake inaendelea kusimama, swali ni je itaweza kuvunjwa katika fainal au katika mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu?

Oleg Salenko
  Mchezaji Norman Whiteside ndiye anayeshikilia rekodi ya kucheza kombe la dunia akiwa na umri mdogo kuliko wachezaji wote. Hadi leo rekodi hiyo haijavunjwa na mchezaji yoyote. Norman Whiteside alikuwa ni mchezaji Northen Ireland na alicheza kombe la dunia la mwaka 1982 akiwa na umri wa miaka 17 na siku 41. Norman Whiteside kwenye club - See more at: http://shaffihdauda.com/?cat=12#sthash.VYowvkeN.dpuf

- See more at: http://shaffihdauda.com/#sthash.PXeBj2Ks.dpuf