nNi aliyekuwa golikipa wa mtibwa Hussein Sharrif alimaarufu Iker Casilas, usajili huo ni baada ya wekundu hao kumtema golikipa mghana Yaw Beko, hivyo wekundu hao kubaki na makipa wawili tegemeo yaani Casilas na Ivo. Casilas amesaini kuchezea wekundu hao kwa mda wa miaka miwili. Kila la kheli Casilas ndani ya wekundu wa msimbazi.
Friday, 11 July 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment