.

.

Sunday, 13 July 2014

Hakuna siku iliyokuwa ikisubliwa kwa ham kama siku ya tarehe 13/7, kwa wapenda soka duniani kote. kitu kinacopelekea watu kukana utaifa wao kwa muda wakifikiri kuwa hawajakosea na kusingizia ushabiki. hivyo vita ya leo haina mwenyewe ni ya dunia nzima, baina ya pande mbili yaani Arg vs Ger. Ushabiki huu utakuwa umegawanyika kivilabu balani ulaya,  mashabiki wa bacelona aslimia 90 watakuwa upande wa Argetina, na mashabiki wa madrid asilimia 70 watakuwa German kwa sababu ya kumchukia Messi. Asenal vijana babu, wao inaeleweka wanasema hawajachanganganya nasaba na Argentina, wao ni Wajerumani, watoto wa nyumbani Mesaside Liverpool wao wanaangukia argentina eti kuna veterani wao Max Rodrigues na Xavie Mascherano. The bluessss wao hawakuwa na upande ila wametafutiwa kwa kuwaaibisha vijana wao watoto wa nyumbani kupigwa 7 hivyo wana hasira wanamuongeza nguvu argentina kuwalipizia kisasi cha hizo goli 7.
Manchester City wao wanasema lazima wawapw vijana wao nguvu ya kuchukua ubingwa si wengine ni Zabaleta na Bwana minywele. Man u leo wapi...... wadau wa man nambieni.


0 comments:

Post a Comment