Kama mwana uchumi siungani na benki kuu (BOT) kufuta
noti ya shilingi mia tano 500/= na kuifanya sarafu. hii kimtamo wa kifalsafa
tunasema ni (the most unpleasant economic decision) kwa sababu zifuatazo.
Mosi: fedha yeyote inapobadilishwa kutoka shilingi kuwa
salafu ni kuishusha thamani. Hii ni kwa
sababu kiuchumi inabadilika matumizi na kuanza kutumika katika zaidi
katika sekta ya uchumi mdogo, mfano kwa wauza njugu, mama lishe na maeneo
mengine yasiyozalisha kiuchumi, ( less productive sector).
Maeneo yenye uzalishaji mkubwa (lead productive
sector) yanashindwa kuitumia fedha hii
kwa kuwa tu ni sarafu, tuchukulie matharani maeneo kama airport, migodini au
supermarket haitakuwa rahisi kukuta
fedha hii, hiki ni kiashiria cha kushuka kwa thamani ya fedha hiyo. (Indicator
for Currency Devaluation).
Hivi kwa nini hatujiulizi kwa nini Marekani hadi leo
hii dolla moja ni ya noti? Sisi sh. 500/= tunaiweka kwenye
sarafu??????????????? Dolla moja yenye single digit iko kwenye not, sisi
tunalazimisha 500 yenye triple digit kwenye sarafu.
PILI: Unapotengeneza sarafu ya pesa kubwa ni kuandaa
mazingira ya pesa nyingi kujiondoa katika mzunguko, kwani sarafu ni rahisi sana
kupotea. Kwa mtazamo huo tutegemee sarafu ya shilingi 50/=, 100/= na 200/=
kutoweka kabisaaaa.
Ikifikia hatua hii ujue nchi imeanza kuyumba
kiuchumi na mfumko wa bei umevuka kiwango cha kawaida (extention from moderate
infiation to galloping inflation),
Majirani zetu ambao hatuko nao mbali kiuchumi
wanatumia sarafu y ash. 10/= ambayo utaona inatumika kama kawaida. Hapa kwetu
sarafu za sh. 5, 10, 20, zimeondoka na viongozi wao tusubilie sarafu za sh.50,
100, na 200, Zitamfuata na ahera.
TATU: BOT wamekuja na hoja mfirisi kwamba wamefuta
noti ya shilingi 500/= kwa sababu noti hiyo inachakaa mapema na inadumu kwa mda
mfupi kwenye mzunguko .
Hoja hii ni mfirisi kwa sababu jawabu la noti
kuchakaa mapema si kureplace kwa sarafu, bali ni kuimarisha noti hiyo kwa
kutengeneza kwa kutumia material imara. Hebu jiulize noti ya shilling 10000/= ikichakaa mapema wataleta
sarafuuuu???????????????? Chonde chonde BOT. ninavyoelewa mimi sifa mojawapo ya fedha ni kukaa kwenye
mzunguko mda mrefu (durability) sasa pesa inapopoteza durability dawa siyo
kubadili muundo wake. (changing of currency format is not a solution for
impermanency)
Lakini hata hivyo BOT wameonesha hawakufanya utafiti
wa kina kabla ya kuleta sarafu ya shilingi mia tano. Na hoja walizokuja nazo
hata mtu aliye na misingi saba
anazitilia walakini. Prf Ndullu tizama
kwa jicho la tatu kwa hoja ulizotoa kama zina mashiko kwa watanzania.
Kiuhalisia ni kwamba kwa namna yeyote ile lazima
noti ya shilingi 500/= iwahi kuchakaa kuliko noti ya shilingi 10000/=, sababu
ni hii hapa noti ya shilling 500 inaweza kupita mikononi mwa watu 2000 ndani ya
mwezi mmoja wakati noti ya 10000 au noti nyingine kubwa haitokuwa na mzunguko
wa namna hiyo labda robo yake, hivyo kuchakaa ni sahihi cha kufanya ni
kuiboresha na siyo replacement ya sarafu.
Ndo hayo tu wanauchumi kazi kwenu kwani mmesoma ili
mtumike, watanzania wa chini tunaumia sana kuona Tanzania inateteleka kiasi
hiki wakati ina makotena ya wasomi au ni wasomi wa mishahara? I LOVE MY TANZANIA

noti ya shilingi 500/= iwahi kuchakaa kuliko noti ya shilingi 10,000/=, sababu
ni hii hapa noti ya shilling 500 inaweza kupita mikononi mwa watu 2000 ndani ya
mwezi mmoja wakati noti ya 10,000 au noti nyingine kubwa haitokuwa na mzunguko
wa namna hiyo labda robo yake, hivyo kuchakaa ni sahihi cha kufanya ni
kuiboresha na siyo replacement ya sarafu.
Ndo hayo tu wanauchumi kazi kwenu kwani mmesoma ili
mtumike, watanzania wa chini tunaumia sana kuona Tanzania inateteleka kiasi
hiki wakati ina makotena ya wasomi au ni wasomi wa mishahara? 'I LOVE MY TANZANIA'
0 comments:
Post a Comment