MANGALA AFANYA MEDICAL MAN CITY
Eliaquim. Mangala amewasili
Manchester kufanya vipimo vya afya ili kukamilisha uhamisho wake wa
pauni milioni 31.8 kwenda Manchester City.
Kwa mujibu wa Goal.com
Mangala ameonekana akiingia katika hospitali ya Bridgewater kufanya
vipimo hivyo kabla hajasaini mkataba wa muda mrefu kwa mshahara wa pauni
90,000 kwa wiki
Saturday, 12 July 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment