.

.

Sunday, 13 July 2014

Mwenyekiti wa ukawa Prf  Ibrahim Lipumba amekaliliwa akisema 'UKAWA hatutapoteza MUDA kuzungumza na Msajili wa vyama Jaji Mutungi wala Mwenyekiti wa Bunge la katiba Samweil Sitta.
Kama mazungumzo yafanyike yafanywe na Rais Kikwette huyu ndiye aliyevuruga mchakato wa Katiba Mpya kwa MAKUSUDI.
CCM wanatambua kwanini UKAWA walitoka Bungeni HOJA ni kurejea kwenye rasimu ya Warrioba yenye maoni ya wananchi na MJADARA uendelee vya suluhu ni kuendeleza kupoteza pesa za walipa KODI masikini.
Mh: Rais awaombe radhi watanzania na apunguze usani kwa mambo mazito ya nchi akifanya hivyo Katiba mpya inapatikana bila malumbano yoyote.


 

0 comments:

Post a Comment