Ni mmea uliogeuka kuwa lulu nchini Tanzania na nchi jirani kusadikika kuwa ni dawa inayotibu virusi vya HIV.
Mmea unaojulikana kama chikanda
uliopo katika hifadhi ya kitaifa ya Kitulo mkoani Njombe kusini
Magharibi mwa Tanzania sasa unakabiliwa na hatari ya kuangamia.
Hi ni baada ya kuvamiwa na watu wanaoamini kuwa unatibu maradhi ya Ukimwi.Biashara ya kuusafirisha na kuuza mmea huo imekuwa ikinoga kati ya eneo hilo na mataifa jirani ya Zambia na Malawi.
0 comments:
Post a Comment