.

.

Saturday, 6 June 2015


Msafara wa Mgombea nafasi ya Urais kupitia CCM Charles Makongo umepata jali mbaya Wilayani Kasulu ambapo Gari walilopanda wasaisdizi wake limepinduka.Makongoro hakuwemo katika gari hilo bali waliokuwemo wameumia akiwemo mwandishi wa habari Cyprian Musiba, na jamaa mmoja , Tutawajuza zaidi habari hizo

0 comments:

Post a Comment