Maandalizizi ya uandikishaji wa daftari la kudumu kwa njia ya teknolojia almaarufu BVR yameendelea wilayani misungwi. Kikubwa ni baadhi ya watu kushindwa usahili na kutupwa nje kwani hawakukidhi vigezo utajiuliza hawa maafisa watendaji kata waliwachaguaje wakati wengine hata kuwasha komputer hawakuweza. ndiyo Tanzania yetu hii
Saturday, 6 June 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment