Mfano wa Sarafu ya 500 kama iliyoonekana katika Banda la Benki Kuu katika maonyesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Noti ya shilingi mia tano.
Baada ya noti ya shilingi mia tano
kubainika kuwa kwenye mzunguko mkubwa sana na hivyo kuchakaa mapema,
Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imeamua kuleta sarafu ya shilingi mia tano
mwaka huu wa fedha inayotegemewa kudumu kwa miaka zaidi ya ishirini.
Sarafu ya shilingi mia tano inatarajiwa kuzinduliwa na Benki Kuu ya
Tanzania katika siku za usoni. Sarafu hiyo itatumika sambamba na noti za
shilingi mia tano huku zikiwa zinaondolewa kwenye mzunguko taratibu
taratibu. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Huduma za Kibenki na Sarafu wa
Benki Kuu
Tuesday, 8 July 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment