Vikosi vya serikali Somalia vimefanikiwa kuidhibiti
upya ikulu ya rais katika mji mkuu Mogadishu baada ya wapiganaji wa Al
Shabaab kuishambulia.
Maafisa wanasema washambuliaji wapatao watano kutoka kundi la al-Shabab - waliuawa walipoingia katika eneo la ikulu hiyo.Washambuliaji hao wanadaiwa kulipua bomu lililotegwa kwenye gari karibu na langu kuu la Ikulu hiyo.
0 comments:
Post a Comment